by Shukuru | Oct 23, 2022
Watu wengi wanalalamika biashara zao hazipati wateja mtandaoni pamoja na kwamba wanapost bidhaa zao Istagram, WhatsApp na kwenye majukwaa mengine ya digitali. Wengine huanza kufikiri pengine kufungua website itasaidia kupata wateja kuliko kuwa na Instagram au WhatsApp...