Kuna mhusika mmoja kwenye series ya The Undoing alisema jambo lililonifanya niandike hii makala. Walikuwa kina mama kadhaa wakimteta mwanamama mwenzao aliyejiunga hivi karibuni kwenye kikundi chao kinchojihusisha na maswala ya fundraising pamoja na mambo mengine. Kwa...